tag:blogger.com,1999:blog-7758755152147455371.post11055191619657326..comments2019-05-14T19:31:19.458-07:00Comments on Life is a Journey!: KIKONGWE ALALA NA MAITI SIKU 6 AKIDAI ALIKUWA HAJUI LOLOTE, ARIPOTI MSIKITINI KUWA ANADHANI KUNA MAITI NYUMBANI MWAKE!Raymond Mkandawilehttp://www.blogger.com/profile/06670714599127978853noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7758755152147455371.post-12712876955347966142011-08-27T18:35:01.624-07:002011-08-27T18:35:01.624-07:00"...wakazi wa mtaa huo walipandwa na hasira k..."...wakazi wa mtaa huo walipandwa na hasira kufuatia tukio hilo na walisikika wakisema kuwa sio mara ya kwanza kwa mzee huyo ambaye hapo awali alimuua mkewe na kumweka uvunguni mwa kitanda..."

Nao wanakijiji waache hasira za kipumbavu. Mtu huku amefiwa wao wanaleta mashtaka ya kijinga! Wao sheria walisoma chuo gani kama kweli ni wasomi?

Jamaani nanyi serikali zetu Afrika kote: tuanzishe wote elimu ya bure na ya lazima hadi kidato cha mwisho ili kuondoa ujinga wa hao wanakijiji na ndugu zao kote Barani Afrika la sivyo Ulaya wataendelea kututawala milele na milele.

Tena habari hizo nazisoma baada ya kusoma habari zingine za hapa Bondeni kuhusu wajinga kumi na moja waliemuua padre kwakudai eti anayo mboo ya uchawi yenye uwezo wa kujitoaga mwilini mwake na kutanga-tanga usiku ili kuwasumbua wake zawatu!

http://www.globalpost.com/dispatches/globalpost-blogs/weird-wide-web/south-africa-magic-penis-killing-curseGoodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com