Kwa niaba yangu pamoja na timu nzima ya blog hii ya Maisha tunampongeza sana kaka na mpendwa wetu pia mdau wa libeneke Fredy Njeje kwa kuifikia siku yake ya kuzaliwa hii leo...Tunamuombea heri na maisha marefu yenye mafanikio katika kazi za mikono yake.
Happy birthday to you .......
1 comment:
a very happy birthday, indeed, Mr Njeje!
Post a Comment