Mh Joseph Mbilinyi
Habari kutoka jijini Mbeya zinasema kuwa mbunge mh.Joseph Mbilinyi ametiwa mbaroni na polisi kwa mahojiano zaidi hapo jana tarehe 8 huku taarifa za awali zikihusishwa kukamatwa kwake na maandalizi ya tamasha bila vibali halali vya polisi.Hata hivyo kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya amesisitiza kuwa taratibu zote za kisheria zitafuatwa na dhamana ipo wazi wakati wowote.
No comments:
Post a Comment