Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uziouliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji chaKipera, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwendakatika mtaa wa Mwanga nakatika mashamba. Pia mwekezaji huyo raia wakigeni amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifayeyote kwa Halamashauri ya Kijiji na wananchi.
No comments:
Post a Comment