Kaka ALini akimvisha pete ya uchumba ampendae dada Agness kudhihirisha uaminifu wao
Dada Agness akifurahia pete yake baada ya kuvishwa na ampendae
Sherehe ilikamilishwa na keki ambayo wawili hawa walikata na kufurahia kwa pamoja
Bwana harusi mtarajiwa akijiandaa kumlisha keki mtarajiwa wake bi Agness
Mwandishi wa blog hii bwana Mkandawile akilishwa keki kwenye sherehe hiyo
Wawili wakifurahia baada ya kuvalishana pete na kufuatiwa na mnuso wa kukata na shoka.
No comments:
Post a Comment