To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 1 December 2011

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANA JIJINI MBEYA


Kaimu katibu tawala wilyaya ya Mbeya Geofrey Anania akihutubia wananchi wa jiji la mbeya siku ya ukimwi duniani
Daktari wa watoto toka hospital ya rufaa mbeya Dr. Brenda Anosike akielezea jinsi ya kuwatunza watoto waliyopata maambukizi ya ukimwi
Baadhi ya wananchi na wafanyakazi wa jiji la mbeya wakimsikiliza mgeni rasmi
Moja wa waadhirika wa ugonjwa wa ukimwi  dada Tabia akielezea jinsi wananchi wanavyo wanyanyasa wagonjwa wa ukimwi
Afisa mtendaji kata ya ilomba akipokea boksi la kondom toka kwa mgeni rasmi
Mwanafunzi wa shule ya msingi sisimba Atuganile akiimba huku akitoa machozi kuwakumbuka waliyokufa kwa ugonjwa wa ukimwi
Wanafunzi wa shule ya msingi wakiimba kwa huzuni wimbo wa kuwakumbuka waliokufa kwa ukimwi
Katika maadhimisho haya watoto ndiyo waliyotawala uwanjani hapo
toka mbeyayetublog

No comments: