To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 12 January 2012

ITS MY BIRTHDAY TODAY!!!

Leo nasherekea kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu, napenda kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa uzima huu,pili wazazi wangu na familia yangu kwa ujumla bila kuwasahahu wadau wangu wote wa mtandao huu kwa support yenu kubwa kwa kipindi chote.
Mungu na awabariki sana .


1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mkandawile HONGERA sana kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa. Na mwenyezi Mungu akujalia afya tela na maisha mema pia mafanikio.