To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 25 November 2010

Happy Birthday Baraka

Mimi pamoja na wadau wengine wa karibu tunapenda kumpongeza sana mdogo wetu,kaka yetu na pia mwenzetu Baraka Mwakyolile kwa kusherekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 25/11.Tunamuombea maisha marefu na yenye amani pia mafanikio mema ktk masomo yake.Happy Birthday!!!!!

No comments: