To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 2 December 2010

Kijana asafiri toka Geita hadi Ikulu kwa baiskeli kumpongeza rais Dr J.Kikwete!!!

Dr J.Kikwete akimpongeza na kumkaribisha ikulu kijana Mussa Lunyeka aliyesafiri kwa baiskeli toka wilayani Geita hadi jijini Dar kwaajiri ya kumpongeza mheshimiwa rais kwa kushinda katika uchaguzi mkuu uliopita.Kijana huyo alipata fursa ya kuongea na rais kisha kupongezwa kwa moyo wake wa kishujaa na kizalendo na kupewa ahadi ya kupewa msaada ili kuboresha shughuli zake za kilimo.(picha toka michuzi blog)

No comments: