To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 2 December 2010

London wiki hii!!!Hali ya hewa nchini Uingereza na vitongoji vyake inazidi kuwa mbaya na kusababisha mambo mengi kusimama na baadhi ya maofisi kama mabenki na hata shule kufungwa mapema au kutotoa huduma kabisa.Kwa mujibu wa watafiti wa hali ya hewa wanasema kuwa hali kama hii ya baridi kali ikiambatana na barafu kwa mwezi wa kumi na moja ilishatokea miaka kumi na saba iliyopita na hivyo kufanya historia kujirudia katika mwaka huu wa 2010.

No comments: