To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Monday, 13 December 2010

News Alert....Dr Remy Ongala katutoka!!!

Gwiji la mziki wa dansi Dr Remy Ongala amefariki usiku wa kumakia leo huko nyumbani kwake maeneo ya mbezi jijini Dar-es-salaam,habari hizi za kifo chake zimepokelewa kwa masikitiko makubwa na wapenda mziki na na pia watanzania wote kwa ujumla kwani enzi za uhai wake alikuwa akitumia taaluma yake ya muziki katika kueleimisha na  pia kuburudisha jamii.Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kila jambo kwani ndiye aliyetoa na sasa ametwaa jina lake na libarikiwe.AMen
Sikiliza moja ya vibao vyake enzi za uhai wake...hapa chini.

No comments: