To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Sunday, 27 February 2011

Shukrani sana mdau wangu kwa zawadi hii!!!

copyright;maisha blog
Thats me.
Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru mdau wangu Amani toka pale chuo kikuu cha Dodoma kwa zawadi hii kubwa sana,pamoja na kwamba yupo bize na swala zima la kutafuta nondo yake lakini ameweza kunikumbuka kwa taswira hii.Shukrani sana mdau wangu na Mungu akubarikia sana.
Pia naomba kutoa wito kwa wadau walio katika sekta hii ya sanaa na uchoraji kumpa supoti kijana wetu kwani kipaji chake kinajidhilisha wazi anachohitaji na kupewa msaada zaidi wa kimawazo na pia mwelekeo wa wapi kutamfaa.Big up sana Amani na bila shaka utaendelea kutupa burudani ya katuni zako hapa katika blog yetu ya maisha.Kwa mwasiliano zaidi na Amani mtumie barua pepe kwa anuani hii amaniabeid@gmail.com


No comments: