To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 11 March 2011

Heri ya Kuzaliwa kaka Mjengwa!!

Leo tunampongeza kaka yetu na mwana libeneke mzoefu bwana Maggid Mjengwa ambaye alizaliwa miaka 45 iliyopita katika hospital ya Ocean road jijini Dar,tunamtakia kila la kheri na maisha marefu zaidi.
mtembelee katikt libeneke lake kwa kugonga hapa;http://www.mjengwablogspot.com/

No comments: