To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Saturday, 5 March 2011

JUMAPILI NJEMA WADAU WOTE!!!


Ndugu wadau naomba tuungane kwa pamoja kila mtu kwa dini yake na imani yake kumshukuru Mungu kwa uzima tulionao hii leo,kwani ni wengi wamekufa,wengine wagonjwa hawawezi na pia wengine wapo katika matatizo mbalimbali.Bali mimi na wewe tu wazima na wenye afya njema,hivyo basi hatuna budi kumshukuru mungu na kumwinua kwa wema na faddhili zake kuu kwetu....
Na hili ndilo neno la leo....
Natujumuike kwa pamoja katika wimbo ufuatao kama ishara ya shukrani zetu kwa Mungu..


No comments: