To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 21 April 2011

UDOM WAGOMA TENA,WAANDAMANA KWENDA KWA PINDA

WANAFUNZI wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta na Mawasiliano (UDOM) jana waligoma kuingia madarasani na kufanya maandamano hadi Ofisi ya
Waziri Mkuu lengo la kufikisha madai yao hasa ya fedha za  mafunzo kwa vitendo kutoka Bodi ya Mikopo.

Miongoni mwa wanafunzi hao ambao walizungumzia suala hilo walisema kuwa hawaridhiki na kiasi ambacho Bodi ya Mikopo ilichopendekeza cha sh. 350,000 badala ya sh. 850,000 ambazo wanafunzi hao walipendekeza kwa bodi hiyo.

Elias Lugwisha alisema awali wanafunzi hao walipeleka mapendekezo ya fedha zinazohitajika katika Bodi Mikopo kwa mujibu wa mahitaji ya kozi yao ambapo alisema kuwa waliwaomba sh. 850,000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya kujifunzia ikiwemo kompyuta"SOMA ZAIDI GAZETI MAJIRA

No comments: