To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Monday, 30 May 2011

HALI SI SHWARI SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA...

Polisi wamelazima kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Tosamaganga mkoani Iringa walikuwa wakiandaman kuelekea kwa mkuu wa mkoa ili kupeleka malalamiko yao kuhusu uongozi wa shule hiyo. Maandamano hayo yametajwa kuwa ni ya amani na hakuna vurugu zilizolipotiwa kabla ya polisi hao kuchua uamuzi wa kutumia mabomu ya machozi hivyo kuacha maswali kama polisi hao walitumia nguvu hiyo kwenye mazingira sahihi. Wanafunzi hao wameonekana wakihaha na kukimbia huku na huko maporini kuponya afya zao, pia wananchi wa maeneo hayo wamekuwa hawana amani huku wakikimbia makazi yao. 
kwa picha na habari zaidi mtembelee mzee wa matukio http://francisgodwin.blogspot.com/

No comments: