Pichani ni marehemu Tulakela Samnyuha mama wa spika wa bunge mh. Anne Makinda ambaye alifariki ghafla siku ya tarehe 5/5/2011 huko Dodoma.
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda na mama Tunu Pinda wakiweka shada la maua na kutoa heshima zao za mwisho
Mh rais na mkewe pia wakitoa heshima zao za mwisho
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mboye akitoa heshima zake za mwisho.
Tunamuombea mama Anne Makinda Mwenyezi mungu amjalie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amen.
Picha kwa hisani ya michuzi-matukio
1 comment:
Poleni sana kwa msiba, Mwenyezi Mungu na awape nguvu wafiwa wote kwa kipindi hiki kigumu. Na pia tumwombee mama yetu kwa sala ili afike mahali pema peponi. Amina.
Post a Comment