Gorikipa wa mapinduzi stars Ivo Mapunda akikabidhi kombe kwa mheshimiwa Mwakipesile mkuu wa mkoa wa Mbeya.
Timu ya mapinduzi stars ikipita mitaani kwa furaha
Mmoja wananchi wa mbeya wakishow love na kikombe cha ushindi
hapo jana timu ya mapinduzi stars ambayo ni mabingwa wa taifa cup imerejea nyumbani na kupokelewa kwa furaha kubwa sana na wananchi pia viongozi mbalimbali wa mkoa.Timu hiyo ambayo iliundwa kwa mchanganyiko wa vipaji vipya na vile vya zamani ilikuwa chachu katika mashindano hayo na hatimaye kutwaa ubingwa kwa mara ya pili tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment