To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 12 May 2011

Sherehe za kuapishwa Mseven zamalizika salama...

Rais wa Tanzania Mh. Dr J.Kikwete akimpa mkono wa pongezi rais mteule wa Uganda mh. Yoweri Kaguta Mseven ambaye anaingoza nchi hiyo kwa awamu ya nne mfururizo.
Picha toka Michuziblog

1 comment:

Goodman Manyanya Phiri said...

Mkuu, asante kwa picha hio. Unajuwa: kuna kuongoza vilevile kuna kubabaisha.


Wazee kama huyo Kaguta na Gabriel (wa huko Zimbabwe) hawababaishi.


Kuwang'owa (kwa wale wanaotaka wang'olewe) ipo kazi kweli kwa kuwa viongozi hawa na wenginevyo wanayo siri kubwa ya madaraka. Lakini siri yao iko wazi.

Kama iko wazi, nami simuambii mtu mwenye macho yake na masikio!