To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 10 June 2011

Wito kwa Mara ya Mwisho Kwa Wasanii,Sauti za Busara 2012 (Huu ni muda wa madaha wa Sauti za Busara) Black Roots
Orchestre Poly Rythmo de Cotonou Benin
 Christine Sale
 Bi Kidude
 Makame Faki 
 Mlimani Park Orchestra
Sinachuki Kidumbak Zanzibar
  Sukiafrica Sukiyaki Allstars Pan Africa Far East
 Jahazi Modern Taarab

Wito kwa wasanii wa kiafrika kutoka popote pale walipo duniani. Jopo la uchaguzi wa wasanii litakutana mwezi wa nane ili kupanga mpangilio wa wasanii kwa ajili ya Tamasha la Sauti za Busara 2012. Kwa kujali maombi yako tunahitaji kopi ya nakala zako moja au mbili za hivi karibuni(CD au DVD),Maelezo mengine. Omba sasa muda wowote kabla 31 Julai 2011

Busara Promotions 
PO Box 3635 
Stone Town 
Zanzibar, Tanzania
Tunapatikana njia ya uwanja wa ndege, mkabala na Golf Club 
Tel: +255 24 223 2423 
or +255 773 822 294

No comments: