To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Sunday, 10 July 2011

HATIMAYE YANGA YAWANYAMAZISHA WEKUNDU WA MSIMBAZI NA KUWA MABINGWA WA KAGAME CUP...

  Hatimaye vijana wa jangwani Dar young African wametawazwa kuwa mabingwa wa Kagame cup kwa mwaka huu wa 2011 na kuwaachia machungu wapinzani wao simba sports club ya msimbazi. Tunawapongeza sana wana jangwani kwa ushindi wao na kuwatakia kila la kheri kwenye msimu wa ligi utao anza hivi karibuni,pia kuwataka wana msimbazi wasikate tamaa na kujipanga kwa msimu ujao...Daima mwisho wa mchezo mshindi lazima apatikane na yanga ndiyo waliopata nafasi hiyo.....Yanga oyeeeeeeeeeee.
picha kwa hisani ya michuzi blog

No comments: