To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 11 August 2011

KARIBUNI KWENYE WAVUTI MPYA YA BONGOFLAVALINK..


More Entertainment Inayojishughulisha Na Maswala Ya Kupromoti, Kusimamia Na Kurekodi ( Tuff Rec ) kazi Za Wasanii Wachanga Mkoani Morogoro Inapenda Kuwajulisha Wadau Wote Wa Sanaa Nchini Kuwa Imefungua Blog Inayokwenda Kwa Link Ya 
http://bongoflavalink.blogspot.com ) Ili Kurahisisha Kazi Ya Kupromoto Kazi Za Wasanii.Tunaomba Sapoti kutoka Kwenu Kwa Kutembelea Hii Blog Kwa Maendeleo Ya Sanaa Yetu...Thanks..
Contact:
Salim Chuma aka MORE
Morogoro
Tanzania
Tel: +255712 222244

salimmore@yahoo.com

No comments: