To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Tuesday, 9 August 2011

MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAFANA MBEYA

 Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo akifunga maonyesho ya kilimo nyanda za juu Kusini jijini Mbeya kwenye kiwanja John Mwakangale
 Waziri David Mathayo akipokea maandamano wa kwanza kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya 
 Maandamano yakiwa yanaingia viwanja vya nane nane 
  Waziri akipata maelezo toka kwa mkuu wa wilaya Mbeya Evance Balama alipotembelea bada la halmashauri ya wilaya ya Mbeya
  Umati mkubwa wa wananchi waliohudhuria maonyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini Mbeya Baadhi  ya watumishi wa wakishurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika mabanda Bora katika maonesho hayo ya Nane Nane
 Baadhi ya wateja wakipata maelezo katika banda la Vodacom
  Mzee kyando wa kikundi cha huzuni cha baba wa taifa alikuwepo

Kama kawaida wachina hawakukosa eneo hili  kuchemkia biashara ya maua
Picha na mbeya yetu

No comments: