To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday 1 September 2011

YAH;TAARIFA YA MABADILIKO YA JINA NA LINK YA TONE INTERNET

Natumai Muwazima wa Afya Njema na Happy Eid kwa Ndugu zetu waislam wote hapo kazini, Tunaombatunaomba Msaada wenu mtusaidie kutoa taarifa hiyo hapo chini ya juu ya mabadiriko ya jina la website yetu na pia jina la Radio. Natanguliza Shukkrani zangu. Kazi Njema.

TAARIFA YA MABADILIKO YA JINA NA LINK YA TONE INTERNET RADIO KWENDA TONE ONLINE RADIO
Tone Multimedia Company Limited inapenda kuwapa taarifa wananchi wote popote Duniani kuwa tumefanya mabadiliko ya jina la Radio pia jina la Tovuti ambapo mala ya kwanza ilikuwa inaitwa Tone Internet radio na Jina la Tovuti lilikuwa ni www.toneinternetradio. blogspot.com, Kutokana na Sababu za kimsingi za kuingiliana kwa mtandao na Radio moja iliyopo USA inakwenda kwa jina la Tune Internet Radio ndio sababu iliyo tupelekea kubadilisha  jina na kuzaliwa kwa jina jipya la Tone Online Radio ambapo tovuti yake sasa itakuwa ni www.toneonlineradio.blogspot. com na ikumbukwe pia Tone Online Radio ni Radio inayo tumia internet Pekee hatuna Frequency za aina yoyote. asanteni sana atakae pata link hii ampatie na mwenzake.pia kwa wanamuziki watume na maproducer watume kazi zao kupitia toneonlineradio@live.com . Kwa pamoja tunaendelea kuleta maendeleo ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Tone Online Radio Tumekufikia popote Duniani. Natanguliza Shukrani kwa niaba ya Uongozi,Imetolewa na,Joseph MwaisangoMkurugenzi wa MawasilianoTone Multimedia Company Limited.

KUSIKILIZA TONE ONLINE RADIO BOFYA HAPA:  www.toneonlineradio.blogspot. com

No comments: