To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 20 October 2011

JK Na Rais Museveni Waongoza Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya UDSMRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za kilele cha kuadhimisha miaka hamsini 50 ya kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam zilizofanyika katika ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiingia katika ukumbi wa Nkurumah kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangua kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Balozi Fulgence Kazaura na kulia ni Makamu mkuu wa chuo hicho profesa Rwekaza Mukandala

No comments: