To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 13 October 2011

MBUNGE WA MVOMEROMHESHIMIWA MAKALA ATEMBELEA ENEO LENYE MGOGORO WA ARDHI KINYENZEMbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uziouliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji chaKipera, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwendakatika mtaa wa Mwanga  nakatika mashamba. Pia mwekezaji huyo raia wakigeni amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifayeyote kwa Halamashauri ya Kijiji na wananchi.

No comments: