To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Tuesday 25 October 2011

MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE WA SONGWE

 Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi  wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hicho
 Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya  Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha  ndege songwe Mbeya
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi  uwanja huo kwa muda uliopngwa
 Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa
Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja
PICHA ZOTE TOKA LATEST NEWS BLOG

No comments: