To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday 3 February 2012


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana katika viwanja vya Mahakama kuu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 na kupokewa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman nyuma yake, Spika Anne Makinda (anayepeana nae mikono, na viongozi wa juu wa Mahakama kabla ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 
Picha na IKULU

No comments: