Picha mbalimbali zikimwonyesha mheshimiwa rais na mkewe mama Salma pamoja na viongozi wengine wakisiasa nchini wakiwa kwenye sherehe za kuzaliwa kwa taifa huru la sudan ya kusini...Tunaliombea heri taifa hili na kulitaka kuwa chachu ya amani katika ukanda huu....Mungu bariki nchi hii mpya..
Jk akiwa na rais wa taifa jipya la Sudan ya kusini
Mh.Zitto Zuberi Kabwe mbunge wa Kigoma kaskazini nae pia alikuwepo kwenye mnuso huo
No comments:
Post a Comment