Kikosi cha wekundu wa msimbazi
Kikosi cha wana jangwani Yanga Africa
Timu hizi mbili maarufu nchini Tanzania leo zinakutana katika finali za kombe la kagame kwenye uwanja wa taifa jijini Dar hivyo macho na msikio yetu yapo huko.Hii ni kutokana na pressure inayokuwepo wababe hawa wanapokutana ambayo huambatana na majigambo na vituko vya hapa na pale,lakini mwisho wa siku msema kweli ni dakika tisini hivyo basi endelea kuwepo hapa nasi kwa matokeo zaidi...
No comments:
Post a Comment