HABARI ZILIZOTUFIKIA MAPEMA HII LEO ZINATHIBITISHA KUWA MSANII MAARUFU WA MICHEZO YA MAIGIZO STEVEN KANUMBA AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUMAKIA LEO NYUMBANI KWAKE VATCAN SINZA.
HABARI ZAIDI ZA CHANZO CHA KIFO CHAKE NA TARATIBU ZA MAZISHI ZITAWAJIA HAPO BAADADE MARA TU ZITAKAPOTOLEWA NA VYOMBO HUSIKA.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU KANUMBA MAHALI PEMA PEPONI AMEN.
No comments:
Post a Comment