Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Jakaya kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Steven Kanumba
Mbunge wa jimbo la kinondoni Mh Iddi Azani akisaini kitabu cha maombolezo.
Mke wa waziri mkuu mama Tunu Pinda naye akitia saini kitabu cha wageni.
Mtoto wa rais bwana Ridhwan Kikwete naye pia akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Kanumba.
picha zote kwa hisani ya michuzi
No comments:
Post a Comment