To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 26 November 2010

Nini matarajio ya watanzania kutoka katika serikali ya awamu ya pili ya utawala wa Dr; J.kikwete!!

 kupunguzwa kwa matumizi ya serkali yasiyo na lazima,kudhibiti vyanzo vya mapato na pia kuzuia mianya yote ya upotevu wa mapato ya serikal.

            Uboreshwaji wa huduma za maji mijini na vijijini ili kulinda afya za watumiaji.
   kuwawezesha watu wenye vipato vya chini kuweza kuishi maisha walau yanayofaa hasa maeneo ya vijijini.
        Kuwekwa kwa mipango mahususi itakayo saidia kupunguza tatizo la usafiri kwa wanafunzi nchini
        Kuwepo kwa mipango endelevu juu ya ujenzi na ukarabati wa miundo mbinu
                                     Kuhakikisha usalama kwa ndugu zetu Albino kote nchini.
                                                       uboreshwaji wa huduma za afya mijini na vijijni.

 Kuongeza jitihada ktk ujenji wa barabara hasa maeneo y vijini ambko ndiyo tegemeo kubwa la chakula kwa    taifa
 Elimu iboreshwe ikiwa ni pamoja na utengenezwaji wa madawti ya kutosha ,vitabu na walimu wenye sifa.
                                          Kuimarishwa kwa usalama wa raia na watu wake.

1 comment:

ELLY said...

ya not only tanzania.becouse
Between 1995-2002, 48 African countries prepared national plans of action for poverty reduction that included gender concerns. Furthermore, some African countries have strategies for supporting women’s entrepreneurship through micro-credit schemes and capacity-building in enterprise management.
However, while the number of people living in poverty dropped in all developing regions in the world between 1990 and 2000, it actually rose, in Africa, by over 82 million. African women constitute the majority of both urban and rural poor (over 70 per cent in some countries). Unequal power relations between women and men, the skewed distribution of remunerated and unremunerated work, unequal inheritance rights in some countries, food insecurity and lack of secure access to land, property, and other productive resources, as well as inadequate support for women’s entrepreneurship are some of the major causes of women’s poverty. Widespread poverty among women also affects other critical areas, such as women’s health and education.