To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 17 December 2010

Benki kuu ya Tanzania yatangaza note mpya leo.

Gavana wa benki kuu ya Tanzania leo mchana ametangaza rasmi note mpya za shilingi mia tano,elfu moja,elfu mbili,elfu tano na elfu kumi ambazo zitaanza kutumika mapema mwakani.Akitoa tamko hilo gavana amesema mabadiliko hayo yanaenda sambamba na ukuuaji wa technologia duniani na hivyo kupunguza ongezeko la fedha halamu.
Kwa maelezo zaidi na muonekano wa noti mpya ikiwa ni pamoja na alama za siri ingia hapa;

No comments: