To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Saturday, 18 December 2010

Noti mpya za Tanzania hizi hapa!!!Wapendwa wana blog hizo ndyo noti mpya za shilingi mia tano,elfu moja,elfu mbili,elfu tano na elfu kumi na zitaanza kutumika rasmi mnamo tarehe 1januari.Noti hizo zitakuwa zikitumika sambamba na zile za zamani.Shime ndugu zangu natuziangalie alama muhimu kabla hazijaanza kutumika.
      (  Picha kwa hisani ya Michuzi blog)

No comments: