To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Monday, 6 December 2010

Hatimaye tuzo ya Tusker project Fame yaenda Uganda!!

 Hatimaye lile shindano la kumtafuta mshindi wa Tusker fame project limefikia tamati usiku wa kumakia leo pale jiji Nairobi nchini Kenya na msanii Davis toka nchini Uganda akitanagazwa kuwa mshindi.Matokeo hayo yametokana na uwingi wa kura alizopata na kumzidi mshindani wake wa karibu Peter Msechu kutoka Tanzania aliyeambulia nafasi ya pili.
Msanii Toka Tanzania Peter Msechu akiwajibika jukwaani katika fainali hizo.

No comments: