To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Monday, 6 December 2010

Kumradhi wana blog!!!

NIMEFANYA MABADILIKO KATIKA BLOG YETU YALIHUSISHA MABADILIKO YA ADRESS YETU TOKA YA ZAMANI ILIYOKUWA NI; raymondmkandawile.blogspot.com. NASASA NI mkandawilejr.blogspot.com, HII NI KATIKA KUBORESHA ZAIDI PAGE YETU.MABADILIKO HAYA HAYAJABADILISHA CHOCHOTE KATIKA MUONEKANO WALA HABARI ZILIZOPITA .NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU WADAU NA PIA NAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA SABABU YA MABADILIKO HAYA.
wenu blogger;Mkandawile Raymond

No comments: