To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 9 December 2010

SHEREHE ZA MIAKA 49 YA UHURU WA TANZANIA!!

 Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la heshima lililo andaliwa rasmi katika kusheherekea siku hii ya uhuru ndani ya uwanja wa taifa
 Gwaride la heshima likipita mbele ya mheshimiwa rais na wageni waalikwa pia watanzania waliohudhulia sherehe hizo za uhuru. 
 
Akina mama nao pia hawakuwa nyuma katika kuonyesha ukakamavu wao,hapo walikuwa wakitoa heshima zao mbele ya jukwaa kuu.

No comments: