To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 13 January 2011

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa!!

Leo terehe 13 ninaadhimisha siku yangu ya kuzaliwa,namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuifia siku hii ya leo. Lakini pia naomba kutumia wasaha huu kuwashukuru wazazi wangu kwa malezi yao mema hadi hapa nilipofikia, wanafamilia wote kwa ujumla kwa support yao na mwasho wadau wote amabo wameungana nami kwa nia mbalimbali ikiwemo sms,calls,email na hata kuja kunitakia heri nyumbani kwangu. Sina cha kuwalipa na wala sitaweza kumshukuru kila mmoja kwa wakati wake tu naomba wote mpokee shukrani zangu kwa pamoja.Mungu awabariki sana.Ndimi blogger wenu Raymond