To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Wednesday, 12 January 2011

Waliokufa kwenye maandamano wazikwa kishujaa Arusha!!
Pichani waombolezaji wakiwa wamebeba majeneza mawili ya vijana waliouawa.

Maelfu ya wafuasi wa chadema jijini Arusha hii leo walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa NMC kuhudhulia ibada ya kuwaombea marehemu waliouawa na polisi katika maandamano mwanzoni mwa wiki hii. Waombolezaji hao waliongozwa na viongozi wao mbalimbali akiwemo mwenyekiti Mh. Freeman Mboye,mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema pamoja na katibu mkuu Dr.Wilbroad Slaa. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu pahala  pema peponi Amen..

Sehemu ya umati wa waombolezaji waliojitokeza kuwaaga marehemu.No comments: