To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Wednesday, 5 January 2011

News Alert!!! Viongozi wa juu wa chadema wawekwa sero...

Baadhi ya viongozi na wafuasi wa chadema mjini Arusha hii leo.
Taarifa kutoka jijini Arusha zinasema kuwa viongozi wa juu wa chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) akiwemo mwenyekiti(mb) mh Freeman Mboye na katibu wake Dr Wilbroad Slaa wamewekwa rumande leo kufuatia maandamano ya wanachama na viongozi hao ambayo yanadaiwa kuwa ni batili.Polisi ilibidi watumie nguvu kuwa tawanya wandamanaji ambao walionekana kukaidi amri ya jeshi hilo ya kusitishwa kwa maandamano hayo kwa amani. Habari zaidi na picha;www.issamichuzi.blogspot.com

No comments: