To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 25 February 2011

Chadema waandamana jijini Mwanza kupinga Uchaguzi wa meya jijini Arusha!!

copyright;maisha blog


Pichani ni baadhi ya wandamanaji wa chadema jijini Mwanza leo.
Wanachama wa chadema hii leo wameandamana jijini Mwanza katika kuendeleza mapambano ya kupinga uchaguzi na uteuzi wa meya wa jiji la Arusha. Maandamano hayo ya leo yalikuwa ya amani na kusindikizwa na polisi kupitia katika mitaa mbalimbali ya jiji la Mwanza. Kikomo cha maandamano hayo kinategemewa kuwa katika viwanja vya furahisha ambako viongozi wa chama hicho watawahutubia waandamanaji hao.
picha na ;Sengoblog

No comments: