To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday, 24 February 2011

Tetemeko laua mamia ya watu huko New Zealand!!

copyright;maisha blog
Moja ya majengo yaliyo athiriwa na tetemeko. 
Tetemeko kubwa linalokadiliwa kuwa na uzito wa 6.3 magnitude limelikumba eneo
 llinalofahamika kama christchurch nchini New Zealand na kusababisha uharibifu mkubwa ukiambatana na maafa ya watu wanao kadiriwa kuzidi 100 hadi sasa na kuwaacha wengine wakiwa majerui na wengine kukosa mahali pa kuishi.Hadi sasa kazi ya uokoaji na pia kutafuta miili ya watu amabo wanahofia kufukiwa na kifusi katika eneo hilo bado inaendelea huku uwezekano wa kuendelea kuwapata watu walio hai kuwa mdogo kutokana na madhara yaliyotokana na tetemeko hilo.Hata hivyo baadhi ya watu waliokolewa mapema baada ya tukio hilo wakiwa hai na wengine wakiwa na majeraha madogomadogo.

No comments: