To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Tuesday, 22 February 2011

copyright;maisha blog
Pichani ni baadhi ya viongozi na wafuasi wa chadema katika maandamano yaliyopita jijini Arusha.
Habari zilizotufikia asubuhi ya leo kutoka jijini Arusha zinasema kuwa kumezuka vurugu nyingine iliyosababishwa na maandamano ya wafuasi wa Chadema waliokuwa wakidai kuto mtambua meya wa jiji hilo na hivyo kumtaka ajiuzuru.Maandamano hayo yalipita katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo ikiwa ni pamoja na ofisi za halimashauri ya mkoa wa Arusha.Hali hii imejitokeza ikiwa pia leo ni siku ya kusikilizwa kwa kesi inayo wakabili baadhi ya viongozi wa chadema kutikana na maandamano yaliyosababisha uvunjifu wa amani miezi kadhaa iliyopita.kesi hiyo imeahirishwa hadi hapo tarehe 25 mwezi marchi.Hata hivyo maandamano hayo yalisambaratishwa na polisi kwa kutumia mabomu ya machozi.
Kwa habri zaidi endelea kuwa nasi hapa.Mkandawilejrblog

No comments: