To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Tuesday, 15 February 2011

A happiest moment!!!

copyright;maisha blog
Wapendwa wanablog leo ilikuwa ni siku ya furaha kwangu pamoja na wadau wengine kwani ni siku ambayo tumesheherekea kumaliza masomo yetu ngazi ya Advanced diploma hapa katika chuo cha London School of commerce jijini London nchini Uingereza..Na zifuatazo ni baadha ya picha za tukio zima....
 Katika pozi la picha ndimi mdau na mwana blog wako Mkandawilejr kwenye maafari ya Advanced diploma in Business and Mangenent, London School Of Commerce in United Kingdom
 Nikiwa pamoja na wanafunzi wenzangu na huyo bwana hapo akti anaitwa Prof. Lancaster,pia ni dean of school LSC.
 Pamoja na wadau wengine katika kusherekea
NA wadau pamoja na Lecturel wetu wa HRM miss;Tatiana akitupa support ya kutosha

PAmoja na course administrator na mratibu mkuu wa degree, bwana Anand Warser..
Mr Mutale Mporokoso,shukrani za pekeee kwake kwa kufanikisha suala zima la upatikanaji wa taswira hizi.

No comments: