To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Wednesday, 16 February 2011

News Alert!!Mlipuko mkubwa umetokea jijini Dar usiku huu..

copyright;maisha blog
Habari zilizopatikana hivi punde kutoka jijini Dar-es-salaam zinasema kumetokea mlipuko mkubwa katika  maeneo ya gongolamboto mlipuko ambao unasemekana kusababishwa na kulipuka kwa ghala la kuhifadhia silaha kama ule uliotokea kule Mbagala.Wakazi wa maeneo ya jirani wamekuwa wakifanya juhudi kuondoka katika maeneo hayo na kuelekea katikati ya jiji.Bado chanzo halisi cha mlipuko huo hakijafahamika hadi hivi sasa.Taarifa kamili zitatolewa pale zitakapo patikana..endelea kuwa nasi.....

No comments: