To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Monday, 21 March 2011

BREAKING NEWS!!!!!!! 5 STARS MODERN TAARABU WAPATA AJARI USIKU HUU..
Five Star Modern Taarab wamepata ajari na tour basi maeneo ya Mikumi leo usiku huu, na kwa taarifa mbazo blog hii  imezipata ni kwamba watu zaidi ya watano wamefariki, Inasemekana kuwa kundi hilo la Five Modern Taarab lilikuwa njiani kurejea jijini Dar es salaam wakiwa kwenye basi lao dogo aina ya costa liligonga loli lililokuwa mbele yake.Tutaendelea kukupasha habari kadri zitakavyokuwa zinatufikia,natuendelee kuwa na subira na pia kuwaombea ndugu zetu hawa.

No comments: