To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Tuesday, 29 March 2011

Huduma ya kikombe yaruhusiwa mkoani mbeya!! ni baada ya kusitishwa kwa saa kadhaa..


Kaimu mkuu wa mkoa wa Mbeya mh.Moses Chitama  akitoa kibali cha kuendeleza kikombe...
Hatimaye lile sakata la kusitishwa kwa huduma ya utoaji wa dawa ya vikombe viwili mkoani Mbeya limefikia mwisho baada ya Serikali kuamua kuruhusu huduma hiyo kuendelea kama kawaida jambo ambalo limepokewa kwa furaha na wanachi wa jijini Mbeya na maeneo ya jirani.
Soma zaidi: mbeya yetu


No comments: