Today on 29 April 2011 was a big day for our lovely boy Jayden as he turned into two years old.We all wish him happy birthday.Lots of love from mumy, Dady and everyone who loves you.
Ilikuwa Jumatano moja tu (Wednesday, 29 April 2009)katika ya siku nyingi zingine ndio ulipiga hodi duniani, Jayden.
Jana ulihitimu siku 731 ukiwa hapa uwanjani wa mapambano. Karibu sana, kwani inaelekea wewe utatuletea vichekesho vingi sana, ili tusahau kidogo matata ya dunia
2 comments:
Happy birthday baby Jayden! May God Bless you.
Ilikuwa Jumatano moja tu (Wednesday, 29 April 2009)katika ya siku nyingi zingine ndio ulipiga hodi duniani, Jayden.
Jana ulihitimu siku 731 ukiwa hapa uwanjani wa mapambano. Karibu sana, kwani inaelekea wewe utatuletea vichekesho vingi sana, ili tusahau kidogo matata ya dunia
WHO IS YOUR FATHER, BRIGHTBOY?
Post a Comment