Mtoto Eric Mwaisango katika pozi.
Leo tarehe 8/04/2011 mtoto wa kaka yetu na mwana libeneke wa mbeya yetu kaka Mwaisango anatimiza miaka 6ya kuzaliwa, tunampongeza sana kwa malezi mazuri na pia kumtakia kila la kheri katika kumwezesha mtoto Eric katika kutimiza ndoto zake. Happy birthday to youuuuuu Eric!!
kwa picha na habari zaidi tembelea; mbeyayetu.com
3 comments:
asante tunashukuru kwa kumtakia kila lakheri ya mtoto wetu eric asanteni sana na mungu awabariki
Hongera Eric kwa siku yako ya kuzaliwa!!
Happy Belated Birthday mwanangu Eric...Hongera saaaana!miaka sita lol...
Post a Comment